Ufuatao ni wasifu wa watunzi wa hadithi za mchezo wa Karandinga. Carla Fernandes alizaliwa nchini Angola na ameishi Ureno. Baada ya kuhitimu Shahada yake ya Masomo ya Kutafsiri, alijiunga na Idhaa ya ...
Hadithi fupi kwa jina "Upright revolution" ama "mapinduzi ya kutembea wima" iliyoandikwa na mwandishi mtajika Prof. Ngugi wa Thiong'o imeandika historia kwa kuwa hadithi fupi iliyotafsiriwa kwa lugha ...
Mwandishi wa vitabu vya riwaya na hadithi fupi fupi kutoka nchini Tanzania Abdulrazak Gurnah ndio mshindi wa mwaka huu wa tuzo ya Nobel ya Fasihi. Kamati inayotoa tuzo hiyo imemtangaza Gurnah kuwa ...