Klabu ya Yanga ya nchini Tanzania imeandika rekodi mpya ya kucheza mechi mfululizo za Ligi Kuu nchini humo bila kupoteza, ikifikisha michezo 49,rekodi ambayo haijawahi kufikiwa na klabu nyingine ...
Klabu mbili kongwe za soka Simba na Yanga kutoka Afrika Mashariki nchini Tanzania, Ijumaa hii April 5 zinakabiliwa na kibarua kizito cha kuwania kutinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya mabingwa ...